KANYE WEST YEEZY SEASON 3 COLLECTION

311C335F00000578-3443048-image-a-105_1455236399808Kim Kardashian is back to blonde ,here kwenye back stage before Kanye’s Yeezy season 3 show.

Kanye-West-Yeezy-Season-3-02-900x1200 The Venue Madison Square Garden1455227562-upload-9

Waliofika kwenye show wanakadiriwa kufika 20,000na walioangalia live walikuwa 20 Millions People.Hands down to Kanye ali break ze internet.311CDDC700000578-3443048-image-m-96_1455244404657

So hii ndo ilikuwa runway sio kama zingine mwaweka line ndefuu no kwa Kanye ilikuwa kama Arena flani hivi ,chini kuna modeli ,juu pia na kuna wengine wamekaa pia,Stage ikiwa imetandikwa matambara aina tofuti tofauti.311CD52C00000578-3443048-image-m-78_1455243607735

Raba nimezipenda ,nguo nawachia nyie311CDCE000000578-3443048-image-m-121_1455245239136

At least this time amechanganya na colors kama orange,blue,kijivu,njano nk.311C826900000578-3443048-image-a-154_1455240652420
311CCFBF00000578-3443048-image-a-91_1455244055929

The queen Mother of the catwalk Naomi Campbell alikuwepo .311CEADA00000578-3443048-image-m-100_1455244445713

Models wanapofananishwa na Homeless people.

311BF5AF00000578-3443048-image-m-75_1455234429084

Hapa ndo utaona vizuri models waliokaa311BE08300000578-3443048-image-m-44_1455231571810

wanafashion na wale wa kufata trends mpoo???hutashangaa by next week hii collection iko sold out 
311BE28000000578-3443048-image-m-49_1455231661097

311BE08C00000578-3443170-Keeping_things_simple_Once_again_Kanye_s_collection_was_largely_-a-137_1455237369208

HAPA WAONA YA KUVAA????311BF5AF00000578-3443048-image-m-75_1455234429084

Utitiri wa models
Kanye-West-Yeezy-Season-3-08 Kanye-West-Yeezy-Season-3-27

Whats up na hivyo vikofiagallery-1455227474-upload-7kanyewestKANYE

Kanye ali wa honor watu hawa wawili kwa show yake Mama yake mzazi Donda West na Baba mkwe wake Baba yake Kim Robert West.

Kwenye moja ya lyrics ya nyimbo zake kasema “I feel like me and Taylor might still have sex / I made that b** famous.”Basi sawa.

311AE75E00000578-3443048-image-m-15_1455225800758

Masharti ya show

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.