#TBT :: Khadija Mwanamboka For NIDA TEXTILE wazindua nguo kuwaunga Mkono wakulima wa Pamba Tanzania

Mbunifu wa mitindo Tanzania Khadija Mwanamboka (VVK) amefanya collabo na NIDA TEXTILES kuwapa wa Tanzania mavazi ya bei nafuu pamoja na  kuwaunga mkono wakulima wa zao la pamba Tanzania,Kwenye project Khadija for NIDA  wamekuja na nguo mbalimbali za kike kiume na hata kwa watoto pia

Kuhusu size Khadija amejitahidi sana kuhakikisha anafata International size chats,japo kwenye Large amezingatia sana wakina dada na wakina baba wenye maumbile ya ki Africa zaidi.

Wali luanch nguo aina mbalimbali kama mashati,blauzi ,magauni hata mabegi ambayo waweza kuhifadhi  vitu vingi na yapo kwa kitenge na khanga,na kwenye hii collection basi wametumia zaidi Khanga na vitenge ambayo vinatoka NIDA.

Ilifanyika Pale Millenium Towers

DESIGNER KHADIJA MWANAMBOKA

MC :BELINDA MLINGO she did ana amazing job

Fashion show

nguo zilikua nyingi na ziliuzwa hapo hapo ,baada ya tukio nguo zitakua zinauzwa kwa jumla tu na sio reja reja,tulokiuwepo siku ya uzinduzi tulijinunulia viwalo kwa bei nafuu sana elf 15 mpaka 20.

KULIKUWA NA WASEMAJI KADHAA KATIKA KUHAMASISHA WATU WAWEZE KUJIAJIRI AU KUJUA PIA WENGINE WALIFIKIAJE NDOTO ZAO KAMA MAZA WA MAZNTA BRIDAL 

BASILA MWANUKUZI ,MISS TANZANIA 1998

 

BELINDA 

MAZNAT NA BELINDA

Shamim Mwasha akielezea Mapinduzi ya mitindo na ku support Tanzania Ya Viwanda

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.