Khloe Kardashian Shared Her Color-Coordinated Fitness Closet!!!!!!

Wale Team Fitness na ambao bado please let Khloe Inspire you,Wengi kuwa na closet tu kawaIda kasheshe lets be real sio wengi can afford a closet let alone a fitness closet seriously,on the other note Khloe yeye ana closet kabisa ya kuweka nguo zake za Gym na anaonekana ni mtu ambaye yuko very organized maana kazipanga kwa colors.

Ukipanga kwa color coordination inasaidia kujua nini kipo wapi na cha rangi gani ,Kudos kwa Khloe on this one.She has a giant closet just for her gym clothes ,kati ya the kardashian ambao wanapenda kufanya mazoezi basi Khloe ni mmoja wapo japo miaka ya nyuma alikuwa chubby but ameweza ku loose weight na ku stay in shape for a long time.

KHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (4)

Ali share this closet kwenye ile App yake.KHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (3)

So hapa ni only shirts na unaona nyeusi zimejipanga,grey na za colorsKHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (5)

Looh hizi pants bwana kibwena hata avae kila siku kwa miezi minne bila kurudia she can do it

KHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (7)

KHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (2)

The closet looks like this ,Raba/trainers ndo hizo in every color KHLIEKARDASHIANFITNESSTOUR (1)

Accessories,belts,gloves etc .

Ukishapenda mazoezi hutaona ni adhabu au usumbufu na usishangae ukawa na wewe na collection yako ya gym wear kabisa tena za kutosha,nguo za mazoezi should not be boring 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.