Khloe Kardashian So Pink Baby Shower

Khloe Kardashian anatarajia kujifungua mwezi ujao,na baada ya kua spotted akifanya shopping ambapo inasemekana alitoka na vitu vya mtoto vya $900000 si mchezo.

This Weekend alifanya baby showe yake ambayo ilikua Sooo pink of course ni sababu wanatarajia baby girl na kulikua na elephants kibao ,yani wa kutosha.

All the Kardashian sisters walikuwepo pamoja na mama yao Kris Jenner.

DECOR ILIKUA YA KUVUTIA SO GIRLY 

SIJUI KHLOE ANAPENDA ELEPHANTS???

MAANA WALIKUA WA KUTOSHA 

NILIPENDA SAHANI ZILIKUA NA WANYAMA MBALIMBALI

BALOONS SASA UWIIIII

KHLOE  WORE A CUTE PINK SHORT DRESS WITH A SATIN DUSTER COAT

NA DADA KUBWA KOUTRNEY 

WITH HER BEAU TRISTAN 

WITH MOMEGER KRIS

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.