Kim Kardashian kuingiza Dollar Million 14 ndan ya Dakika Chache aki Launch KKW Beauty

Yes wakati wengi wakimuchukia na kusema hana brain sijui mwili mzima ni fake ,all this might nit be true  well some are true but kwenye suala la brain nakataa isee wanajua kutafuta hela.

Niliandika about Kim’s new beauty empire KKW Beuty ambayo anazindua siku ya jumatano ,na atakua anauza online tu.

Soma HAPA zaidi.

Basi wataalamu wa mambo wanasema kua Kim anatarajiwa kuingiza kiasi cha Madolari Million 14,ambazo zitapatikana dakika chache tu baada ya kuzindua hii beauty line yake .

According  to WWD, industry sources expect the reported 300,000 units of her $48 Creme Contour & Highlight Kit to sell out in less than five minutes, which would rake in $14.4 million(!).

Kim amesifiwa pia kwa kuweka dark shades ambazo kampuni nyingi za urembo zinakosa kuweka na rangi za watu ambao ni darker so Kim hili kapatia.

Four kit shades to complement your skin tone: Light, Medium, Dark and Deep Dark.

A post shared by KKWBEAUTY (@kkwbeauty) on

Related Posts

Leave a Reply