KITENGE MIXED PRINTS

hgughuiiKWA AMBAO MWAPENDA VITENGE SIO LAZIMA UNUNUE KITENGE KIPYA KUPATA MSHONO WAWEZA MWAMBIA FUNDI AKUWEKEE YAKE MABAKI AKIKATA YA VITENGE AU KHANGA THEN WEWE WAWEZA SHONA SKETI AU GAUNI KAMA FASHIONISTA HUYU ,HIYO SKETI NI RESULT YA MABAKI YA VITENGE VINGI VINGI LAKINI SKETI IMETOKA NA INA MUONEKANO MZURI. bhghjg hghggj hghghuuih hghgjjCREDIT”FASHIONFANATIC

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply