KOMBE DUNIA NDANI YA LV CASE …..mupoooo

 

UNAAMBIWA HATA KOMBE LA WORLD CUP 2014 NALO LITASAFIRI KISTYLE NI NDANI YA LOUIS VUITTON ‘LV’ CACE AMBAKO LITAHIFADHIWA  HUMO HADI LITAKAPO LITAKAPOTUA KWA MWENYE NALO , …….HAHAHHA FASHIONISTA MTACCHAJE KUIPENDA FOOTBALL SASA KAMA LV NDO ANAELIVISHA NA KULIHIFADHI KOMBE LENYEWE??
lv trophy case

louis-vuitton-fifa-world-cup lv worldcup trophy case Louis-Vuitton-World-Cup-2010-Case 3

NAOMI NDO ALOLIUCHISHA KOMBE HILO……Who ever said football isn’t fabulous? :)

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.