Kourtney Kardashian na Shumizi Kitaani

3187E94C00000578-3463199-image-a-30_1456369425707

Baada ya Riri na celebs wengine Kourtney nae akiwa kitaani na shumizi yake wanaziita slip on dress,Naoana aliona tu aongeze hako ka sweta sijui top kwa juu na boots with the max mara coat akawa ready to go.3187E98000000578-3463199-image-m-29_1456369307258

I think she slayed it the pop of shumizi iko kwa chini imeblend in vizuri na color ya top yake na the coat.Huwa Kourntey kwenye clan nzima ya the Kardashians huwa anaonekana mpole a huwa hana vivazi vya ajabu ila its not the case anymore.3187E8FC00000578-3463199-image-m-27_1456369098664

Shumizi ina a lace touch kwa chini

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.