Unaweza kubaki marafiki na Ex wako kama hawa couples waliosherekea kuachana kwa kupiga divorce selfie.

These couples wametrend sana kwa kupiga divorce selfie kusherekea kuachana kwao.. au niseme Ex couples maana they are all divorced.

Hawa couples wote washerekea divorce zao kwa kupiga picha mara tu baada ya kutoka kusign divorce papers zao. Wanasema kuwa ni bora kuachana kwa upendo maana wakiachana na kubaki na vinyongo basi hakuna atakayefaidika kati yao.

Hawa wa kwanza ni Chris na Shanon, waliita picha yao “divorce selfie”, shanon alieleza kuwa wanasherekea kuwa wameweza kupata divorce na kubaki marafiki, kwani hata kama wanaachana, walipitia mambo mengi pamoja na isingekuwa vizuri kama wangeachana kwa chuki.

divorce selfie 2

Hawa nao wamesimama kabisa mbele ya courthouse na wameshika divorce papers zao namatabasamu kabisa.

divorce selfie

Hawa walipost picha na status ikisema, “Welcome to co-parenting! Don’t cry because it’s over; smile because it happened. #divorceselfie.”

divorce selfie 3

Hapa msichana alipost akisema forever haikuwa ndefu kama walivyokuwa wakidhania, ameeleza kuwa wameishi kwa furaha na mapenzi yao nyiyo yaliyowafanya waweze kuishi pamoja lakini mambo hayaendi tena.

Anasema kuwa amemfunza na kumtunza mwanaume vizuri lakini anasema sorry ladies he is already taken, kuwa tayari ana mtu mwingine saivi , haya wale wenye wake wenza

divorce selfie 4

Wengine hawa nao katika divorce selfie yao..

divorce selfie 5

Haya mashosti kazi kwenu, nani kati yenu anaweza kufanya hivi, nani kati yenu anaweza kupiga selfie na Ex wake baada ya kuacha na kupost na sherekea. Hapa siwaongelei wale wanandoa tu, hata wenye boyfriends na girlfriends na fiance.

Nani anaweza kubaki marafiki na Ex wake kama hawa couples walivyofanya na kupost kabisa divorce selfie za kusherekea kutengana kwao??

Zama 8020 Forums kusoma na kutoa mchango wako na maoni yako katika shosti talk zingine ka hii..click hii link www.8020Forums.com ikupeleke moja kw moja huko.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.