THROWBACK THURSDAY::::KUNANI?

Hii ni moja ya post pendwa za hapa 8020fashions na ilipostiwa mwaka 2012 Jan 24,ikiwa ni ingizo jipya ya hizi bags za kiume za LV.

seriaz nataka jua wanaume wanabebaga nini kwenye mabeg yao…..yule kutokana na swaga zake mlichonga ngenga…huyu anaonekana kanyooka kabisa…..Haya tuambizane  kunani .

Related Posts

8 Comments

  1. kweli wanabeba sana hapa majuu ,nazungumzia kwa obama, but guess wat,they r all gay !!real men never carry that shit…!!

  2. mulemule tu kama wale..suti si hata nao huwa wanatinga..mbona umemkata juu..muweke full kama hajaangukia kwenye lile kundi ..

    Gluv

  3. i think amebeba Laptop, Lunch, Perfume, ummm… watelse aaahh… dah office need wat so ever he kill it that guy is mine definetely clean!!! well hater stop it yoooh.. coz he did it wit new version of briefcase

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.