Kutana na Watoto Mapacha wa Beyonce na Jay Z ,Sir Carter and Rumi

After a month of waiting tangu Beyonce ajifungue watoto mapacha kila MTU akisubiri basi hata awaone wakitoka kwa hospital wapi,tunajua she is number one kwenye suala la usiri  ,but Leo kawapost .

Anaendeleza mfumo wake kupost na maua ,she is so extra .

Kutangaza kwamba ni mjamzito alizungukwa na maua ,Hali kadhalika kuwa introduce kwa ulimwengu pia wamezungukwa na maua.

So Hawa ndo Sir Carter na Rumi

how gorgeous is she ????

Love the setting and the outfit too

she wore a Floral Ruffled Jacket by Palomo Spain

All hail queen B

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.