Kwenye DStv wikiendi hii

KwenyeDStvwikiendi hii!

Kwenye Premier League wikiendi hii ndani ya DStv, Timu mbili zilizobeba makombe mara nyingi England, zenye historia nzuri kwenye ligi ya Uingereza, zenye heshima kubwa kwenye historia ya Soka Uingereza  na Duniani kwa Ujumla.

Ikumbukwe, mzungukowa kwanza ndani ya Anifield timu hizi zilizotoka sare bila kufungana. Man united wakiwa nafasi ya pili wakahitaji ushindi kuendelea kuweka haimatumaini yao ya nafasi ya pili wakati Liverpool nao wakihitaji ushindi ili kuishusha Man United kwenye nafasi ya pili.

Hakika hii sio Game yakukosa kabisa, kwa sh.69, 000 tukifurushi DStv Compact

ndani ya Supersport 3 utawashuhudia kina Paul Pogba, RomeloLukaku, NemanjaMatic, Anthony Martial wakipiganiaheshimaya Manchester United huku Mohamed Salah, Saido Mane, Emre Can, Frimino wakipigania kukamata nafasi ya pili.

Je hujajiunganaDStv?  wahisasaOfayaTHE PUNGUZO, burudika na miezi miwili bure kwa kununua Dekoda pamoja na Dish kwa sh.79, 000 tu!

DStv Kujiunga piga 0659 070707, na ukita kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo. THE PUNGUZOnaDStv!!

  

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.