Kylie Jenner Ajifungua mtoto wa Kike,Plus Video ya Safari yake mpaka anakua Mama

Finally Kylie Jenner amejitokeza baada ya kujifungua mtoto wake wa kike na boyfriend wake Travis Scott.Baada ya kusubiri na kusubiri watu tumetengeneza imagination zote hadi watu wote kuhisi labda Kylie ndiye aliyebeba mimba ya Kim but imekanushwa baada ya Kyle kujifungua mtoto wake wa kike.

Rumous zilianza sometimes ago baada ya rumous kusambaa kwamba ana mimba ya miezi 5 well ,Kylie amejua kuficha hii mimba hata TMZ hawakumpata.

Japo Kylie hakusema kuhusu mimba yake picha kutoka kwenye baby shower yake mwezi Novermber zilisambaa

Ametumia mtandao wake wa instagram kusema haya kwa fans wake 

how cute is this pic???

Khloe alimpa hongera mdogo wake kwa kuandika

Congratulations My Sweet Kylie! What a magical ride it’s been! I’ll miss you bumping along with me. Never in a million years did I think we would do this together but it’s been that much more special because of it. God is so great!! He had His plan all along! I love you little mama 💕 love big mama

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.