Ladies, Mnajua The One Thing A Man Wants From The Woman He Loves??

Topic ya leo ndio hiyo, short and clear. Ninachotaka kujua ni kama nyie mashosti mnajua what your man wants from you. Huyo boyfriend/fiance/mume wako anataka nini kutoka kwako?

Kuna sehemu nimesoma na wamesema hivi:: Mapenzi, he can get love from anywhere, mwanamke yeyote anaweza akampenda, kama ni sex anaweza kulala na wanawake wengi tu, na hata wale wanaosema njia ya moyo wa mwanaume sijui ni kupitia tumbo lake, kusema kweli hata kama unajua kupika vipi kuna watu wengi sana wanajua kupika.

Young African-American Woman Preparing Delicious Lunch
Young African-American Woman Preparing Delicious Lunch

So hata kama you love your man, unampikia chakula kitamuu na una bend over backwards kumplease tu in bed he can still leave you kama humpi kile kitu kimoja anachokitaka, na ni kitu gani hicho, RESPECT/HESHIMA.

do you know the greatest need of a man

Hiyo sehemu nliyosoma amelalamika sana kuwa mwanamke anaweza akakupa vitu vyote hivyo lakini anakuwa hakuheshimu, unakuta mtu anamuheshimu pastor wake au boss wake lakini ikija kwa her man ni tofauti kabisa hata mbele za watu. Hitaji kubwa la mwanaume ni heshima, uki combine heshima na vitu vyote vingine thats the complete package. Treat each other kama marafiki, lovers and add repect.

what a man wants

what do you think? Unakubaliana na kilichoelezewa hapo juu? Feel free kuacha comment na kutuambia unachofikiria.

INGIA www.8020f0rums.com kujionea more topics kama hizi.

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.