LEDISI WEAR AFRICAN PRINT ON QUEEN LATIFAH SHOW

 

LEDISI NI MWANAMUZIKI JANA NIKIWA NAANGALIA TALK SHOW NIANGALIAZO KILA SIKU NILIKUTA NAE KWENYE SHOW YA QUEENLATIFAH AKIWA KAJA PERFOM NAKUTAMBULISHA NYIMBO YAKE ….NILIVUTIWA MNOO NA PRINT ALOKUWA KAIVAA KUJA IZOOM NIKAKUTA NI KITENGE AKA AFRICAN PRINT  AKA ANKARA….NIMEPENDA ZAIDI NYWELE ZAKE NITAFEATURE  KWENYE NATURAL HAIR SOON…..kamata mshono twende kaziqueenlatifa & ledisi

ledisi ql show

ledisi ledisi_singing_ ql show1 _ledisi_singing at ql show

nimegundua ni mvaaji mzuri wavitenge nitakudondoshea ingine hapa hapa MSHONO wake sasa…..

Related Posts

Leave a Reply