Leo ni Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

October 11 Siku ya Jumatano dunia inasherehekea siku ya mtoto duniani tangu mwaka 2012 .

Siku hii ni maalumu na ina dhumuni la ku tambua na ku adress changamoto wanazo pata watoto wa kike pamoja na kuweza kuwanyanyua .

Kwa Tanzania hadi leo kuna watoto wanabakwa na kupata matatizo kibao kama mimba sababu tu ya kusoma mbali na wanapoishi ,au mimba nyingi za utotoni zilizopo sasa zinawafanya watoto wasiendelee na masomo  na unyanyasaji mwingine mwingi tu wanaofanyiwa.

Serikali ina dawati la jinsia kwenye vituo mbalimbali vya polisi,vinafanya kazi ila kuna watu hata haya madawati hawajui kwamba yapo au wengine mnaogopa kwenye sababu mnataka maliza kesi kifamilia.Tutumie madawati kama haya kuelezea changamoto za watoto wa kike na kuwaweka kwenye sheria wanaowafanyia vitendo hivi .

Leo nilisikiliza joto la Asubuhi pale Efm 93.7 ,wakawa wapo na madam Jesca i hope sijakosea sija yeye ame staafu mwaka huu alikua dawati la jinsia pale kituo cha Oysterbay akashauri kwamba waandaaji wa majukwaa makubwa ya burudani kama Mziki mnene au fiest yatoe nafasi watu waelimishe watu kuhusu madawati haya ya jinsia.

Since 2012, 11 October has been marked as the International Day of the Girl. The day aims to highlight and address the needs and challenges girls face, while promoting girls’ empowerment and the fulfillment of their human rights.

EmPOWER Girls: Before, during and after crises

The world’s 1.1 billion girls are a source of power, energy, and creativity – and the millions of girls in emergencies are no exception. This year’s International Day of the Girl (IDG) on October 11 marks the beginning of a year-long effort to spur global attention and action to the challenges and opportunities girls face before, during, and after crises.

http://www.un.org/en/events/girlchild/

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.