Let’s Judge :: Hii Handbag ya LV alobeba Jacqueline Mengi ina Thamani ya Million 10

We all know ni mmoja wa wadada ambao hawabebi fake stuff #no fake zone babe

Leo amepost on her instagram akiwa amevalia white na kimono cha maua na stripes akiwa ame accessorize muonekano wake na Handbag ndogo ya LV ya pink ,sunglasses and white shoes.

Now this tiny cute pink Bag kutoka kwa designer LV inauzwa USD 4800 kwenye website ya LV ingia hapa kuona

Features zake ni hizi

Handabg inaitwa CAPUCINES PM

– 12.4 x 7.9 x 4.3 inchesFull-grain Taurillon leather
– Handle for arm or hand carry, removable strap for shoulder or cross-body carry.
– Snap hook closure
– 2 large compartments
– 1 flat pocket, 1 zipped pocket
– Protective bottom studs

Kuna watu wata anza yani hela yote hiyo ananunua handbag ???well yes she has it .Jamani mtu mwingine mapenzi yake yako kwenye ku splurge designer bags kama hivi,me ningependa anihadithie story ya alivyo purchase her Birkin bag ile ya Orange aliyeko karibu nae ampe hili ombi langu .

She is a working Mama so kuji treat na vitu kama hivi jamani ni kawaida nani hapendi kuji spoil???Ukiwa nachokitumie .

Pia anasaidia jamii jamani ,she does this kupitia her Ntuyabaliwe Foundation napostigi anavyosaidia Library za shule mbalimbali.

Alicia Vikander ndo alikua kwenye kampeni ya ‘Spirit of Travel’ campaign huko Brazil .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.