Lets Throwback Today with Miriam Odemba

Model Miriam Odemba is our icon ,ni moja ya Models ambao walifungua milango ya International recognition kwa wa Tanzania wengi.And she has been good au tuseme ameweza ku jimaintain mpaka leo she looks good,and bila kusahau ile Miriam Odemba style ya Lemba ambayo mpaka kesho bado tutaendelea kufunga style hiyo,now Miriam ni Mama wa mtoto mmoja  Iris na anaendelea na u model

Leo throwback thursday tucheki tu matukio baadhi toka Miriam ya miaka hiyo ya 1990’s.miriamodemba (4)Face of Africa 1998 huko Namibia ,Miriam kwa runway huyo kavaa gauni la creme ,velevet flani hivi

miriamodemba (5)Paris 1999 Elite Model look of the Year,Miriam kavaa croptop na skirt hii kama batiki vile so wenzenu crop top zamani sana walishavaa 

miriamodemba (6)Enzi zile cha kitabu cha simu TTCL,Miriam wa kati kati akiwa kavalia a yellow and white blazer 

miriamodemba (7)Dress Face of Africa,Miriam in a feather dress ,hii ikiwa mwaka 2000

miriamodemba (2)

Mambo ya kuwakilisha Tanzania vyema kwenye Elite Model look

miriamodemba (1)

Hii ni my favorite mambo ya sabuni ya Revola.Kulala vizuri kula Matunda na Pia kunywa maji mengi mchana kutwa

miriamodemba (3)

Face of Africa Kampala.

Miriam ametoka mbali na hii Tasnia ua Mitindo,its nice to see her keeping up her good work.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.