LEY HOME &HOTEL APPLIANCE NA LEY JEWELERS WAMEONGEZA BRUNCH NYINGINE GSM MALL

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab, wamehudhuria katika uzinduzi wa duka kubwa linalouza Vyombo vya ndani na urembo wa wanawake lililopo Msasani Mall na linalomilikiwa na mwanamama Leylah. Dc Hapi na Zainab wamempongeza mwanamama huyo ambaye licha ya kuwa na maradhi ya Endometriosis yanayomsumbua kwa muda mrefu lakini amekuwa mhangaikaji kuhakikisha anapambana na umaskini na kutoa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania.

UPO GSM MALL MSASAN
3FLOOR
DUKA ZOOTE
KARIBUN SANA

ALHAMDULILAH IS AL I CAN SAY
SIO RAHIS NA HAIKUWA RAHIS KABISA
BT WITH ALLAH MY SIDE AL WENT WELL

HONGERA SANA DA LEY 

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.