Life Hacks You Should Know :: Kutoa Madoa kwenye nguo,Kutumia rangi ya kucha kusafisha viatu

Good Morning

Leo nakuja na Life hacks mbalimbali za kike zaidi ambazo am sure ziko very usuful na zitakusaidia kwa namba moja au nyingine kwenye kutatua matatizo kama chupi kuingia damu wakati wa period mtu unaishia kutupa au unaloweka lakini haitakati fresh,au kua na jeans kubwa ina achia uwaza kiunoni

Hope these video will be helpful

Hii inatugusa wengi sana ,unavaa pedi but for some reasons damu inatokeza kwenye chupi sometimes hadi nguo ulovaa ,so video hii inaonyesha what to do kutoa damu hiyo

Viatu vinazinguaga vikifikia hapa unaonakena mchafu hata uvaeje ,tumia rangi ya kucha kutoa uchafu huo

wa jeans kubwa waweza tumia lastick ila unatakiwa lastick utumie ndogo ili ukija kuvaa ivutike na kukutosha usiweke tena kipimo sawa haitasaidia.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.