Linah is back to her natural hair game again and we are feeling her look.She posted this pic on Instagram akiwa kavalia a green African print dress with nude heels ,akisema kuwa katokea state na nafikiri juzi sijui walialikwa wasanii kwenda ikulu.Msikichukulie kitenge poa jamani ni fabrick ya kuheshimu mno.