Louis Vuitton Waja na Mishumaa Yenye Harufu kwa $185 Au 427,609 Uta Splurge??

YAAAAASSSSSSSSSSSSSSSSS

Tumeshuhudia kampuni nyingi za mbele ambazo walikua wakiuza nguo na vitu ,kuingiza sokoni bidhaa za makeup au fragrances,LV hawapo nyuma mwanzini mwa mwaka huu walikuja na Men’s Fragrance yao na sasa hivi wanakuja na perfumery candles.

Zitakua four  scented candles developed by Master Perfumer Jacques Cavallier Belletrud. Mishumaa hii iko kwenye ceramic pots  ambayo wamecraft jina la designer Marc Newson, ambaye ame design pia chupa za LV  fragrance.

Kila ceramic candle ina natural leather handle au mkono ambayo iko attached na  metal studs and a metallic gold finish lid.

kuna aina nne za  fragrances ambazo draw inspiration kutoka kwenye nature. L’Air du Jardin has a scent of rosebuds, Île Blanche evokes warm sea breeze and fresh cotton, Feuilles d’Or captures a walk through the woods and Dehors Il Neige mimics the scent of a fireplace on a winter night.

Mshumaa mmoja unauza $185

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.