Lupita Nyong’o ametoa masikitiko yake kwa Jarida la Grazia baada ya kubadili muonekano wa kipilipili chake

Mara nyingi majarida ya nje yamekua yakiingia kwenye shutuma za ubaguzi kwa ku photoshop baadhi ya ma celebrity kutoka kwenye mionekano yao halisi hadi kwenye ambayo wanaona itauzika.Mfano Ashley Graham ambaye kwenye jarida la vogue walifanya awe na tumbo flat na mapaja madogo wakati kwenye original picture haikua hivyo.

kama hapa ilibidi wazidishe mkono mmoja wa model ili kufunika tumbo lake

Again hawa ni Grazia UK ambayo walimfanyia cover Lupita Nyong’o kwenye cover Lupita anaonekana na smooth sleek hair wakati wote tunajua ana kipilipili,na siku hizi amekikubali.

Lupita amesema jambo kuhusu hili na akilaani vikali gazeti hili kwa kua wabaguzi maana wana definition yao ya beauty ikiwa ni kua na nywele za kizungu.

Amepost instagram ujumbe huu

As I have made clear so often in the past with every fiber of my being, I embrace my natural heritage and despite having grown up thinking light skin and straight, silky hair were the standards of beauty, I now know that my dark skin and kinky, coily hair are beautiful too. Being featured on the cover of a magazine fulfills me as it is an opportunity to show other dark, kinky-haired people, and particularly our children, that they are beautiful just the way they are. I am disappointed that @graziauk invited me to be on their cover and then edited out and smoothed my hair to fit their notion of what beautiful hair looks like. Had I been consulted, I would have explained that I cannot support or condone the omission of what is my native heritage with the intention that they appreciate that there is still a very long way to go to combat the unconscious prejudice against black women’s complexion, hair style and texture. #dtmh

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.