Lupita Nyong’o is the Cover Girl for US Vogue January 2018

Lupita Nyong’o is winning hii ni cover yake ya 4 ya Vogue wakati wengine wakitamani kuwepo kwenye cover za Vogue yeye kafikisha nne.

Anakuja na movie yake mpya akiwa superhero kwenye BLACK PANTHER mbapo anacheza kama Dora Milaje warrior Nakia.

Kasuka mwenye mistari yake ya kwenda nyuma ,twende kilioni na i love her yoga pozi.

the background of the cover is just too beautiful

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.