LUPITA NYONG’O NDANI YA MTINDO WA NYWELE WA KILIMANJARO

Our favorite celeb and fashionista Lupita Nyong’o ndani a moja ya show zake za Broadways ame suka kilimanjaro ule mtindo wa nywele.31800D6800000578-0-image-m-116_1456298280558

So yuko busy na Play inayoitwa ECLPSE tangu mwaka jana hii show ilikuwa inakuwa sold out na mwaka huu wanafanya tena .The play imeandikwa na mwandishi wa  Walking Dead actress Danai Gurira ambaye ni huyu Naturalista hapo akiwa na Lupita.
Lupita kakuza nywele na karashia na dawa maana kilimanjaro ndefu hizo au kasuakia tu.

317FFF0500000578-0-image-m-119_1456298524282

Huyu ndo Danai Gurira ame act kwenye the walking Dead she is like real good.31800D7400000578-0-image-m-115_1456298159687

She was rocking a ripped jeans a tank top na timberland boots.

31802EDB00000578-0-image-m-117_1456298371896

Na baadhi ya crew members.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.