MABALOZI PSPF WATEMBELEA MIRADI

 

Balozi wa PSPF  Flaviana Matata ambaye ni mwanamitindo afanyaye shughuli zake jijini New York ,Marekani  ameendelea na ziara yake ya kuzuru miradi ya PSPF  iliyopo Buyuni, jijini Dar es Salam . Mradi huo ambao una nyumba zaidi ya 400 ambazo nyumba zaidi ya 200 tayari zimeuzika  zikiwemo nyumba zenye vyumba  viwili , vitatu na vnne.

Wiki iliyopita Mwanamitindo huyo alitembelea miradi mingine ya PSPF iliyopo Dodoma katikam chuom kikuu cha Dodoma UDOM na nyumba zilizopo Lukoba Mkoani Morogoro.

leo hii Flaviana aliungana na Balozi mwenzie Mrisho Mpoto kwenye mradi mwengine ambapo PSPF wako katika ukarabati wa baadhi ya ofisi katika jengo lao la Quality Plaza.

 

balozi psps flaviana na mpoto_-5 balozi psps flaviana na mpoto_-6 balozi psps flaviana na mpoto_-7 balozi psps flaviana na mpoto_-9 balozi psps flaviana na mpoto_-10 balozi psps flaviana na mpoto_-11

Baada ya Balozi flaviana Matata kutembelea mradi wa Buyuni ambao una nyumba zaidi ya 400 , alifika Quality Plaza kuungana na Balozi mweza Mrisho Mpoto.

balozi psps flaviana na mpoto_-17 balozi psps flaviana na mpoto_-18 balozi psps flaviana na mpoto_-19 balozi psps flaviana na mpoto_-23

Meneja wa mali  Manfred Nguvila akiwaelezea mabalozi  na Afisa kutoka PSPF

balozi psps flaviana na mpoto_-27 balozi psps flaviana na mpoto_-32

Rahma Ngassa ambaye ni Afisa Masoko Muandamizi aliyekuwa ameongozana na Mabalozi wakipewa maelezo kutoka kwa Gervas Mwanisenga ambaye ni Fundi Sanifu wa mradi huo

balozi psps flaviana na mpoto_-30

haya ni baadhi ya sehemu za jengo ilo zinazokarabatiwa

balozi psps flaviana na mpoto_-31 balozi psps flaviana na mpoto_-33 balozi psps flaviana na mpoto_-34 balozi psps flaviana na mpoto_-35

 

balozi psps flaviana na mpoto_-36

wakiwa Mjengoni walikutana na Joti na Mpoki ambao pia wanadhaminiwa na PSPF katika kipindi chao

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply