MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AIPONGEZA VODACOMI TANZANIA

004.VODAZ

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kulia)akimkabidhi mwakilishi kutoka Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa kanda ya Pwani wa Vodacom Tanzania,Herrieth Koka tuzo ya mdhamini mkuu wa maenesho ya 38 ya  biashara ya kimataifa ya Sabasaba. Akishuhudia makabidhiano hayo wa pili kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Dkt. Adballah Kigoda. Kampuni hiyo ni Mdhamini Mkuu wa maenesho hayo mwaka huu.
005.VODAZ

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto) akipatiwa maelekezo na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani,Herrieth Koka (wa kwanza kushoto)Kuhusiana na mashine mpya ya kutolea pesa(ATM)kupitia huduma ya M -pesa  katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Pamoja naye kushoto ni  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Dkt. Adballah Kigoda, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Jackline Maleko na Mkurugenzi wa Bodi ya TanTrade, Sabetha Mwambenja.

006.VODAZ 007.VODAZ

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake wakiifurahia tuzo ya mdhamini mkuu wa maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Sabasaba iliyokabidhiwa na Makamu wa Rais wa pili wa ZaBalozi Seif Idd(hayupo pichani)Vodacom ni Mdhamini mkuu wa maenesho hayo ya 38 ya biashara ya kimataifa mwaka huu,Ikiwa kilele chake ni kesho July .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.