Makubwa !!! Kumbe Yule Mwarabu Billionare Boyfriend wa Rihanna Alishaoa

Tangu Rihanna aachane na Drake amekua kimya sana on her love life,but miezi kama miwili ilopita yeye na boyfriend wake wa Kiarabu Hassan waligundulika kuwa wana date paparazi walipofotoa wakila bata kwenye pool huko Spain.

So hadi sasa tunajua tu kwamba Riri na Hassan Jameel ambaye familia yake ina right dealership ya kuuuza magari ya Toyota huko Saudi Arabia ,na kwamba ametoka familia ya kitajiri ,ARAB MONEY.

According to dailymail ni kwamba Hassan alishaoa kabla ya kukutana na Rihanna,alimuoa  art expert Lina Lazaar at Paris Opera House in 2012 ila wameachana na kila mmoja ame move on.

So hamna mtu ambaye alijua kua Jamaa alishaoa but tangu uhusiano wake na Riri u make headlines basi watu wamekua waki dig into his past love life.

Lina amekuja kujulikana aliolewa na Jameel kipindi anafanya interview na Bespoke Magazine mwaka 2012 baada ya yeye kua anatumia majina matatu ya  Lina Lazaar Jameel .

Sources tell The Sun: ‘Hassan is an intensely private individual. His marriage was over before he met Rihanna, after getting a divorce from Lina, but it will still come as a shock to her millions of fans. Lina has also moved on with a new partner.’

Huyu dada watu watam google sana hii wiki.

Ila alishaoa waka achana nothing wrong with that ,ila watampopoa leo

Related Posts

Leave a Reply