Malkia wa Uingereza Ame attend Fashion Show yake ya Kwanza ya designer Richard Quinn

Well lucky for this designer  Richard Quinn ambaye amekua wa designer wa kwanza kupata ugeni wa Malkia wa Uingereza .

Hii ni fashion show yake ya kwanza kwenda na mind you sasa hivi ni zamu ya London Fashion Week.

Malkia Elizabeth alikaa front row seat pamoja na Malkia wa Mitindo duniani na boss wa Vogue  Anna Wintour ,mwingine akiwa British Fashion Council chief Caroline Rush.

wengi wana debate kwamba Anna Wintour angevua glasses zake ,but its her signature style kuvaa shades all the time 

the monarch presented the award to British designer Richard Quinn whose show she watched

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.