MASANJA MKANDAMIZAJI 4 WAYS TO ROCK BLUE SHORTS

Masanja Mkandamizaji is one stylish man,ukiingia kwa insta page yake utajua ni mtu anaejipenda na anapenda kutupia pia.Saw these blue shorts he wore four times.

11380772_1652949288275946_905863574_n

Look one alivaa the blue short na button up shirt ya mikono mirefu akafunga vifungo vyote akatupia na cheni pale kati,mkanda wa Hermes na chini his shoes had black and blue.12071221_1076224112389476_1297073352_n

Look 2

He paired the shorts with a t shirt and loafers .

11850242_507470999429519_580624147_n

Muonekano wa tatu alitinga the shorts na Tank top ya stripes
11311398_490593541114959_1498726785_n

Muonekano wa nne ulikua mwendo wa color blocking .

Pared it with a white t shirt yenye graphics nyeusi,boshori na loafers nyekundu.

Which look is ur favourite????

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.