Maternity Outfit By Zamaradi Mketema

Zamaradi is a mother of two akiwa na Mama kijacho wa mtoto wake wa 3.Muite . Mama Russell (JuhJuh)
Mama Shubi na huyu kijacho.

Tucheki how she dress her baby bump japo sio mpostiji sana wa picha kipindi hiki akiwa mjamzito but tutatumia zilizopo.

Uzuri wa Mama vijacho wa sasa wanaweza kuvaa anything ,sio kama zamani lazima ushone nguo au kununua nguo za maternity sasa hivi watu wamekua creative mtu anakomaa na alizonazo ,au akinunua zinakua chache.

striped jumpsuit with a  yellow blazer 

a simple dress like this one ,hii unaweza kuvaa ukiwa na mimba au la 

loved this look akiwa kavaa kimono amazing

This dress was amazing ,lilimoendeza sana sana

t shirt with a floral suit 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.