TBT::Mazoezi ya Kupunguza Inner Thigh Fat (Punguza Ukubwa wa Mapaja)

Unasumbuliwa na mapaja kuwa makubwa hadi ukitembea unachubuka au yanagongana????Haya ni mazoezi ambayo unaweza kufanya mwenyewe nyumbani.Mana haya mapaja yanaboa kwanza unakuwa mzito si heri hips ndo zingekuwa zinanenepa hivi ingekuwa powaBest-Exercises-to-Lose-Inner-Thigh-Fat-at-Home

Tips zitakazokusaidia

Step 1::Unahitaji ku  restrict chakula unachokula ,punguza calories ,ukipunguza msosi means uta uforce mwili wako ku burn mafuta yalokuwa yamehifadhiwa mwilini ndo mapaja nayo yata anza kushrink na ndo kupungua wenyewe,wanashauri calories 1000 kwa siku kupata results nzuri.

0bdea4224e85c1dbdbbb0a42fd1b8d73

Step 2::Usijishindishe na njaa na kula ushibe nkimaanisha kula portion ndogo ndogo kwa mara nyingi kuliko kula heavy meal mara moja.so kula a meal or snack kila bada ya masaa mawili au matatu kwa siku na kula kidogo kutoa njaa  .pile-squat

step 3::Kunywa glass moja ya maji ukitaka kula itasaidia usile sana,zikimbie soda,beer,wine ,milk shakes etc maana hizi zote zinabeba claories kibao so instead kunywa  calories frees drinks kama maji au diet drinks .b4d5c262e8f19026e6658cc42c96d0ce

Related Posts

2 Comments

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.