MBWANA SAMATA NA POZI LA DIAMOND LA TUZO.

Mbwana Samata , Mchezaji wa kwanza kutyoka East Africa kushinda tuzo hili..Watu wanaendeleza style ya Diamond ya kupiga picha na tuzo huku wamelala..Mbwana naye katokelezea na pozi lilelile kama Diamond na wengine wengi walioshinda tuzo kama Idriss ,Daxx.

CONGRATULATIONS TO YOU MBWANA!!

mbwana 2

mbwana 3

mbwana

Related Posts

2 Comments

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.