MDOGO WA KIM NDANI YA TEENVOGUE

ENDIWOO NI KENDALL JENNER NI MDOGO WA KIM K AMBAYE AMEAMUA KU MODEL NA PIA ALITANGAZWA NA WENDY WILLIAMS KUWA ANAMPANGO WA KUTOKA KWENYE REALITY  TV SHOW YAO YA KEEPING UP WITH THE KARDASHIANS ILI KUFOCUS KWENYE MODELLING.FVDFVDF RSTGHTRSHAPA KENDALL AKIWA KWA BAADHI YA FASHION SHOWS ZA MADISINA MBALIMBALIHBJHJKIVAZI CHA BALLMAIN UHUHYHAPA NI KIVAZI CHA CHANEL HGJHNA HAPA NI MARC JACOBS.KUDOS KWA KENDALL MAANA AMEAMUA AFANYE KITU TOFAUTI NA DADA ZAKE NA FAMILIA KWA UJUMLA.

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.