Meet Kamilla Osman Mrembo anayefanana/fananishwa sana na Kim Kardashian West

Wanasema duniani wawili wawili,japo wengi wametokea kujitokeza na kusema au kufananishwa na Kim Kardashian so far Kamilla ndo hadi Kim kamkubali kuwa wanafanana.Maana hadi mapozi na uvaaji Kamilla ana style kama ya Kim.326F1A9800000578-3503172-image-m-71_1458585383260

on their favorite pose the Poutkimyy

Walikutana na kuongea na Kim anasema ameshafanya kazi na Kamilla na itaonyeshwa kwenye the keeping up with the Kardashian,i cant wait kujua walifanya nini .

Kamilla alisema ‘I think she’s such a gorgeous woman,’ she said. ‘I mean, probably one of the most beautiful women in the world.

‘I’m embracing the fact that people think we look alike and I appreciate it because I think she’s beautiful. But I want to be me.’

Kamilla also revealed the work she has had done on her face, saying that she got her lips done at ’16 or 15 years old’ because she ‘always wanted big lips’,so hadi lips katengeneza just to look like Kim

kimy66

The copycat styles ,gym wear kimk8crop top and pencil skirt kimk

their looks in their skinny jeans3250EBCC00000578-3503172-image-m-80_1458585559360

So he is ur BFF too now ,Kamilla aliondoka na Kim’s BFF Jonathan Cheban baada ya kukutana na Kim3250EBE800000578-3503172-image-a-69_1458585258634

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.