Mengi unayothitaji kujua kuhusu Duck Tape anayotumia Kim Kardashian

The Kim Kardashian Boob tape trick  ina trend kwa sasacomp-kimk

So baada ya more research na kushare na watu wengi ,kuna mmoja akasema hizi sio Solotape so msije nunua solotape zije zibanduke katikati ya mtoko ndo mara uko kwa harusi mmeanza cheza kwaito mara pwaa the girls are out itakuwa shigda so tafuteni hizi zinaitwa Duck Tape Okay honey’s.So wengine wanaziita Duct tape mara Giffer tape  haya yote ni majina yake na aina za tape.Hizi ni ngumu ,zina stick muda mrefu pia ni pana vizuri.kim-kardashian-rehersal-dinner-fashion-paris-spl-ftr

Hapa Kim kipindi kile anakaribia kufunga ndoa na Kanye kweli kaanza zamani.kim-kardashian-cleavage-black-blazer-ftr

Kim aliongezea Kusema ‘You tape them up so they are super lifted. It takes a little work but trust me it’s all worth it LOL. kim-kardashian-clevage-dress-paris-oct-1-gallery

But of course there’s a down side – the time you have to remove it all. Sasa hapa its where it hurts bwana lazima vinyweleo vivutwe so maumivu yatahusika hamna namna  kama wasemavyo urembo gharama.kim-kardashian-time-100-gala-spl

Aliendelea kusema ‘Make sure you don’t have any lotion or oils on when you’re lifting your boobs up with the tape. Just brace yourself for when it’s time to take it off LOL,So tip ingine hiyo usije paka lotion  tafadhali wewe paka tu kule hiyo tape haitapita na uvumilie tu wakati wa kutoa

3150C03B00000578-3451024-image-m-73_1455718856731

Of course watu washa anza kuweka utani wakati Kim yuko serious

huyu ni  Ruth Langsford host wa show moja huko majuu akiwa na host wenzie wakijaribu ku mfunga Mama huyu wa miaka 55 kama Kim this is hilarious.3150C04700000578-3451024-image-m-95_1455719320168

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.