MENS FASHION TIPS::SABABU 5 ZA KWANINI UVAE NECK TIE

SALE-Free-Delivery-New-2015-Designer-Brand-Ties-For-Men-Casual-Necktie-Fashion-9CM-Silk-TieNeck Tie ni kitupio kizuri ambacho kwa zamani watu wenye Fedha business men au viongozi wakubwa ndo walikuwa wakivaa but miaka imeenda na sasa tie imekuwa more casual and relaxed kila mtu aweza vaa tie.Tie ni a great accessory to dress up any outfit ,na huwa ni essentials kwa job  interviews mbalimbali,weddings,Misiba/funerals na classy events.12519337_860302514082727_1975067408_n

Sababu za kwanii Uvae Tie

Moja ::Regardless ya whether kampuni yenu ni casual or corporate , neck tie ni essential kwa karibu kila job interview ,na huwa mara nyingi interviewer ana espect kuwa wewe candidate utakuwa umevaa vizuri and well put together.Tie ina go along way kuonyesha a pontential employer kuwa huwa unajali muonekano wako kama professional na a proper person ,sidhani kama kuna mtu ambaye siku ya interview hataki kuonekana katinga kivazi matata na unaonekana msafi wengine wanapataga kazi kwa mionekano yao pia so usi underestimate the power of a neck tie350c3675-bc39-443a-a5cc-cf277f7709b9

Mbili::Tie inaweza kuifanya a cheap suit au shati kuonekana like a Million bucks ,seriously quality suits are expensive na si kila mtu anauweza wa ku affrord one but a quality tie itakuwa ni ur ultimately focal point ya muonekano wako mzima ,jaribu a silk tie hizi huwa ni nzuri na zinaonekana classy kwenye any outfit.Hata kama shati lako ni la buku tani,kumi mtumba safi tupia hapo kati tie moja matata trust me utaonekana kama mtu mwenye doo zake na utapendeza sana.khakhi-blazer-blue-button-down-collared-shirt-purple-tie-rolled-up-jeans-brown-shoes-sockless-mens-style-trend

Tatu::You will be taken seriously na strangers ,watu huwa wana tabia ya kuwaheshim sana professionals na wale watu walovaa vizuri .Mtu huna hela au kazi yako ya kawaida tu ila tie itakufanya uonekane classy and professional na uta make a good first impression maana itakuonyesha ur dapper na una qualities flani amazing ,so kama huna go buy one or two anza na ya navy blue and black uta add more color later on.081210_am_pics_43497pcn_westwick02

Nne::Tie ni a versatile Accessory nikimaanisha yaweza kuvaliwa sehemu nyingi au occations nyingi.Now wawea vaa tie na suti au na jeans with a blzer na still utaonekana classy and well put together.A neck tie yaweza kuchange ur entire look maana people will notice ur tie as much as wata notice sura yako.88673ee04cea19b31f461116dc7b6208

Tano::Tie zina set a grat example for younger men,tuna vijana na watoto kwenye jamii ambao wanatuangalia au wana angalia watu wanaowazunguka kuanzia tabia,uvaaji nk sasa basi waonyeshe wanao au wadogo zako kuwa tie yaweza valiwa muda wowote maana may be wamezoea kuvaa shuleni tu au mtoko wa suti ndo wahitaji tie,Neckties zina model self respect,maturity,discpline maana kuvaa tie halfu una act ndivyo sivyo una ishushia hadhi tie na pia waonekana more professional pia.

12362376_482547618599936_1581292805_n

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.