Merghan Markle Asemwa Vibaya sababu ya Gauni Hili la Oscar de la renta

Am sure Merghan alijua kabisa akiolewa na prince Harry the criticism will forever be a part of her life,maana na hizi internet chaa,but mwenyewe alisemaga hasomi news mbaya wala nzuri kwenye mitandao .

So yeye na Prince Harry wali attend kwenye harusi ya couzin wake Harry na she chose a floral white and blue  oscar de la renta,ambalo linauzwa dola zaidi ya 5000.

Issue sio bei hapa ni fitting,gauni inaonekana kubwa na kama imemvaa Meghan ,sasa huko tweeter watu wanavyomcriticize ni balaaa wengine kufananisha gauni yake na shuka na foronya zake.

do you like her dress???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.