Mhh :: Ritha Ora Wear a Bathrobe and White Towel At The 2017 MTV EMA Awards

She knows how to make a fresh entrance .

Kashavaa miburuzo yote,miwaka waka ,suti kachoka akaona atoke kitofauti na hii bathrone yake na taulo aka tinga navyo kwenye red carpet ya MTV EMA 2017.

Legs for days

Huu muonekano bwana kama mtu katoka bafuni na wengi tunaonaga wa kishua wakivaaa haya sababu kwa usazi bwana mmhh wachache sana.Wengine tunayaona kwenye movie na picha kama hivi.

kwa upande wa acessories alivaa ton of diamond necklaces, a pop of red lipstick and a set of sky-high heels.

Love her heels

kwa stage akavaa a short version

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.