Miriam Odemba Apendezesha Zulia Jekundu Huko Ufaransa kwenye Cannes Film Festival

Miriam Odemba bado yupo into modelling ,na sasa akiwa anafanyia huko Ufaransa,Mrembo wa huyu mkali wa catwalk na pozi za hatare amekua akihudhuria tamasha hili kubwa la kidunia la Filamu ambalo linafanyika kila mwaka kwa Wiki mbili mfululizo mwezi huu wa May ,na mwaka huu wakiwa wanasherehekea miaka 71 tangu kuanzishwa kwake.

Tamasha hili limaenza tangu 8 linamalizika kesho  19 May 2018.

Model na mrembo wetu Miriam Odemba alihudhuria kwenye screening ya  ‘Capharnaun’  akiwa mmoja wa Red Carpet Arrivals .

Alipendeza sana na naona alikua inspired na WAKANDA GENERAL maana amenyoa kabisa ,bald nikisema dang’a sijakosea.

Wakanda forever 

the back of the dress,amazing sana 

mburuzooooo

werk it girl

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.