Mishono 6 Mikali toka kwa Muigizaji wa Ki Nigeria Mercy Johnson #221

Mercy Johnson ana historia na wa Tanzania ,ni mwigizaji wa mwanza sana alofanya filamu na marehem Kanumba ,anaekumbuka ile filamu niandikie kwa comment below,now ni mke na mama wa watoto wa 3,ila bado yuko fresh,anaji keep powa na anapendeza kila siku.

Hii ni baadhi ya mishono tuloipenda toka kwake

off shoulder dress

huyu fundi kiboko ,maana dada yetu kaajaaliwa kifua ila fundi kashona fitting sio ya nchi hii 

love love this

huwaga moaka suruali ya kitenge imtoshe na kumkaa vyema mtu mnene au mwenye shepu kama Mercy ni kwi kwi

Jumpsuit

kama wataka tutorial ya malemba kama haya cheki zeze tv 

another kitenge dress 

this dress is killer

Related Posts

Leave a Reply