Mishono :: Fringe It #272

Hello Mishono lovers karibuni tena i know we have been MIA mwajua tena na sikukuu tukanogewa but we are back and better.Now kwa wale wapenzi wa Mishono nakujia na style ambayo mwaka ulopita ndo ilianza kuvaliwa but this year 2018 najua wengi sana watashona hizi fringe.

Waweza zichanganya kwenye kitenge ,lace au fabric yoyote ile inanogesha mwonekano/mshono wako.

purple color of the year 

gold love 

emerald green

Doopie yeye kashonea kwenye skirt yake ya kitenge 

mambo ni moto

 

wengine wanaweka ki nashki kidogo kwenya magauni yao kuyapa classy 

fringe and sequines 

silver 

this dress

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.