MISHONO KAMA YOTE

Mishono mingine hii kibwena ya kushona kama wewe ni mgeni mualikwa wa kwenye shughuli fulani,iwe harusi au send off, magauni mengine humu waweza shona hata kwa send off pia ,yasss ni ya level hizo.

green with envy

blush of pink

Miss Jojo

gold baby ,solid gold  baby blue

emerald and black

love this pink

another ball dress ,hili kwa send off linafaa

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.