Mishono :: Nhlanhla Nciza is a True Modern African Woman

Nhlanhla Nciza bado anaendelea kutukosha na mishono yake kutoka kwenye label yake ya Nn Vintage,the south African Famous Singer kutoka kwenye kundi la Mafikizolo anafanya sana vyema kutokana na uwezo wake wa kushona nguo za kisasa ambazo zinatumia Vintenge na vitambaa aina mbalimbali.

We love her outfits ,naona mara nyingi pia model anakua yeye mwenyewe,kama unafatilia sana Nguo zake utangundua she loves colors namaanisha bold colors .

How amazing is this jumpsuit????

love the tutu effect on this look

this outfit just makes me happy 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.