Mishono ::: Nini’s Mixed prints Jumpsuit Will inspire you to Love Kitenge even more #240

Nini ni fashion blogger and  influencer from Nigeria ,ana clothing lineyake pia ambapo ndo anavaa sana hizi nguo especially za African prints .

Amekua lover wa ku mix vitenge lately na naona anavishona sana kama jumpsuit .

Msiogope kumix hizi prints jamani ,cha muhimu na cha kuzingatia ni hakikisha kuna color moja wapo ya vitenge vyako inaendana .

i love how anavipa vitenge a modern twist to it vinanoga sana

cold shoulders jumpsuit

another one

blue 

love this kama belt flani ina hang hivi

these exaggerated  sleeves bado ziko in fashion

what do you think

Related Posts

Leave a Reply