Mishono Special kuvaa kwenda kwa Wakwe,Harusini,Kitechen party ,Girls day out

Issa chooseday leo tucheki mishono mbalimbali ambayo waweza kuvaa sehem tofauti tofauti.Kila Mshono utategemea waenda wapi ,huwezi enda na mshono wa dress ya Lace yenye mburuzo sokoni,shurti unapoenda paendane na unachovaa.

Perfect for weddings guest  the turban is goals 

hii yafaa hata for kitchen party au sendoff 

love this dress ,waweza vaa for business casual event,day out with your girls etc

another look am loving how cute is this skirt???

gauni for pre wedding photoshoot hata Nikah

brides maids mtakaa vyema hapa

perfect for introduction au kwenda kwa wakwe zako kama hawata mind mabega

couple na vitenge vyao

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.