Mishono ya Vitenge toka Harusi Yetu launch #168

Weekend ilopita kulikuwa na the Launch ya kipindi cha Harusi yetu kitakacho onyeshwa kwenye Maisha Magic Bongo

Na waalikwa walikua wengi but nilivutiwa sana na walovaa vitenge

mishono-21

Champy Yahya killed it in a two piece outfit

crop top and a high slit maxi skirt

mishono-23

14693677_1832314873681960_2052799311548252160_n

Salma Msangi

mishono-24

Sarah Soso in a high low kitenge top from katty collectionmishono-26 mishono-22

Ashura Sapi in her flowy Maxi dressmishono-25

Vj Penny rocked a high slit dress too

Related Posts

Leave a Reply