Miss Ukraine 2018 Avuliwa Taji ,Alivunja Sheria Mbili Muhimu

Ni mwaka 2014 tulimshuhudia Mshindi wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu akivua taji lake baada ya mkanganyiko wa umri wake.Mbali na umri wa Sitti kuleta sintofahamu kulikua na skendo pia kwamba alishiriki akiwa ana mtoto.
Sitti alipewa figisu figisu na wabongo hadi yeye mwenyewe aliamua kuva taji hilo na kupewa Lilian Kamazima .

Huko Ukraine nako Miss wao wa 2018 amevuliwa taji na kamati ya mashindano hayo kubwa likiwa amevunja sheria za shindano .

1.ANA MTOTO

2.ALISHAWAHI KUOLEWA NA KAUCHIKA

Veronika Didusenko alishinda taji hilo Alhamisi na leo anavuliwa baada ya taarifa zakekufikia kamati ya Miss Ukraine.Ana umri wa miaka 23 anadaiwa kudanganya baadhi ya information zake kwenye fomu ya kujiunga na mashindano.

Kwa mujibu wa Yahoo mail

Kila mshiriki atakaeshiriki shindano hili lazima afate requirements kua asiwe na mtoto wala kua ameolewa

“In accordance with the Rules for conducting the National Beauty Contest Miss Ukraine, a person who wishes to take part in the National Beauty Contest “Miss Ukraine” must comply, among other things, with the following requirements (valid for the period of the Contest): – not / was not married; – has no children,” the statement reads. “The same requirements are indicated in the official form (OFFICIAL ENTRY FORM), which is contained in the unified rules and conditions of participation in Miss World contest 2018.”

Veronika anafanya kazi na watoto kwenye organization ya Young Eisteins hakusema ukweli kwenye form hiyo kwamba ana mtoto wa miaka minne wa kiume na hayupo kwenye social media accounts zake,japo wengi wanaona sio sababu ya yeye kunyang’anywa taji hilo.

I do not think that the child and the family should be an obstacle to their dream,” one person commented on Didusenko’s Instagram account. While another wrote, “It’s time to change the rules.”

Ila mwisho wa siku lazima sheria ifate mkondo wake ,na sheria hizi ni kila mtu ulimwenguni kote ,sasa hivi bado hawaja amua nani atachukua hiyo position ya Miss Ukraine .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.