Missie Popular Akubali yeye ni Mshamba,Cheki Video yake

Baada ya kuitwa MSHAMBA kwa zaidi ya miaka mitano, nimekaa chini na kujitathmini…nimekubali KWELI Mimi ni Mshamba!

Kupitia Channel hii,nitajinoa katika nyanja mbalimbali kwenye Urembo,Maisha na mambo ya Teknolojia.

 


Related Posts

1 Comment

Leave a Reply