Anaitwa Congcong Wang ametrendy toka jana matokeo ya Necta kidato cha nne yatangazwe na kusambaa mitandaoni .
Amepata alama B kwenye Somo la Kiswahili huku mengine akipata alama A na kumfanya yeye kuwa mshindi wa pili kitaifa yani ana trendy kuliko Tanzania one sababu kubwa ni yeye kuweza kukipasua kiswahili vizuri hadi kupata alama B anasema Mock alipata Kiswahili A but B sio mbaya either kwa Necta maana kuna wa Tanzania kiswahili hiki hiki kimewashinda .
Hongera sana sana Congcong
Jumla ya matokeo yaka ana alama za 1.7 sasa humo ndo kuna na B ya kiswahili.Alisema siri kubwa ni yeye kusoma na kuheshimu walimu wake,Amesoma shule ya Feza Girls .
Tanzania One bado hajapatikana nlisikiliza Clouds wanasema bado wanamsaka hope atapatikana na tuweze mpa hongera zake nyingi .